#HABARI: Kituo cha Televisheni cha ITV kimeendelea kung’ara Kimataifa, baada ya kutunukiwa Tuzo ya Superbrand Afrika Mashariki k…

#HABARI: Kituo cha Televisheni cha ITV kimeendelea kung’ara Kimataifa, baada ya kutunukiwa Tuzo ya Superbrand Afrika Mashariki k…

#HABARI: Kituo cha Televisheni cha ITV kimeendelea kung’ara Kimataifa, baada ya kutunukiwa Tuzo ya Superbrand Afrika Mashariki kwa mara ya nane mfululizo, kikitambuliwa kama moja ya Taasisi zenye mchango mkubwa na wa kipekee katika Sekta ya Utangazaji nchini.

Tuzo hiyo imetolewa leo Juni 09, 2025 jijini Dar es Salaam na Taasisi ya Superbrands, Shirika la Kimataifa linalotambua na kuenzi Chapa bora zaidi katika Masoko mbalimbali duniani.

Makampuni mengine chini ya IPP yaliyotunukiwa tuzo hiyo ni Maji ya Kilimanjaro na Gazeti la the Guardian, yakitambuliwa pia kwa ubora wa bidhaa na mchango wao kwenye jamii.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *