#HABARI: Wakulima wa Chama cha Msingi cha Ushirika wa Mwika Kinyamvuo, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamemuomba Waziri wa …

#HABARI: Wakulima wa Chama cha Msingi cha Ushirika wa Mwika Kinyamvuo, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamemuomba Waziri wa …

#HABARI: Wakulima wa Chama cha Msingi cha Ushirika wa Mwika Kinyamvuo, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamemuomba Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, kushughulikia madai yao ya kiasi cha shilingi milioni 469, ambacho waliahidiwa watalipwa na serikali ila wanashangazwa kulipwa milioni 95 kinyume na makubaliano.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *