#HABARI: Waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka Mkoa wa Tabora, wamekusanyika katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, uliopo Mkoani hapo…

#HABARI: Waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka Mkoa wa Tabora, wamekusanyika katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, uliopo Mkoani hapo…

#HABARI: Waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka Mkoa wa Tabora, wamekusanyika katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, uliopo Mkoani hapo na kuswali swala ya Eid El – Adha kwa Pamoja, ambapo wametakiwa kudumisha amani ya nchi na kushiriki uchanguzi Mkuu wa mwezi Oktoba kwa kumpigia kura kiongozi bora atakayekuwa na sera na mikakati ya kutatua changamoto za Jamii.

#itvdigital #itvupdates #itvtanzania.

#follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *