#HABARI: Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Rukwa, wameadhimisha Skuuiku ya Eid el Adha, kwa kuliombea taifa na Uchaguzi Mkuu, ili uweze kufanyika kwa amani na utulivu na kuwezesha kupatikana kwa viongozi bora na wenye hofu ya Mungu
#itvdigital #itvupdates #itvtanzania.
#follow @radioonetanzania