#HABARI: Maisha ya Wakulima wa kata ya Igava halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, yako hatarini kutokana na kupigwa na wengine kupata Ulemavu wa kudumu, kutoka kwa baadhi ya wafugaji wanaowakuta mashambani, pindi wanapotaka kulisha mifugo yao na kufukuzwa,huku wakihofia kukumbwa na baa la njaa.
#itvdigital #itvupdates #itvtanzania.
#follow @radioonetanzania