#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan, amewatakia Waislamu na Watanzania, Kheri ya Sikukuu ya Eid al- Adha, huku akiwataka kuishi kwa Utii kwa Mola.
#itvdigital #itvupdates #itvtanzania.
#follow @radioonetanzania
tunashukur raisi WA jamhur ya muungano WA Tanzania kwa kujal sikukukuu