#VIDEO: Zaidi ya wafugaji 5000 kutoka mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro, wameanza kupanda miti maalumu ya malisho inayotum…

#VIDEO: Zaidi ya wafugaji 5000 kutoka mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro, wameanza kupanda miti maalumu ya malisho inayotum…

#VIDEO: Zaidi ya wafugaji 5000 kutoka mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro, wameanza kupanda miti maalumu ya malisho inayotumika kwa ajili ya malisho ya mifugo, ili kukabiliana na uhaba wa malisho wakati wa kiangazi kikali na kuongeza uzalishaji wa nyama na maziwa pamoja na kukuza vipato vya wafugaji.
#itvdigital #itvupdates #itvtanzania.

#follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *