#HABARI: Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68

#HABARI: Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68

#HABARI: Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68.

Taarifa zilizotolewa na chama chake cha Patriotic Front zimeeleza kuwa Rais huyo wa Zamani wa Zambia, alikuwa akipokea matibabu nchini Afrika Kusini bila kutaja alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa gani.

Lungu aliongoza Zambia kwa miaka sita kuanzia mwaka 2015, na kushindwa katika uchaguzi na Rais wa sasa Hakainde Hichilema kwa kura nyingi.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *