#MICHEZO: Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, amesema kwa sasa wachezaji wao wameanza mazoezi kujiandaa na mechi mbili waliozob…

#MICHEZO: Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, amesema kwa sasa wachezaji wao wameanza mazoezi kujiandaa na mechi mbili waliozob…

#MICHEZO: Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, amesema kwa sasa wachezaji wao wameanza mazoezi kujiandaa na mechi mbili waliozobakisha hususan dhidi ya Tanzania Prisons utaochezwa Juni 18, 2025.

Mchezo mwingine wa Yanga mbali na wa Simba Juni 15 ambao hawauzungumzii ni dhidi ya Dodoma Jiji uliopangwa kuchezwa Juni 22, 2025.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *