#HABARI: Kuelekea siku ya bonanza la Mac D 2025, Afisa Masoko kutoka Bodi ya Utalii Tanzania, Bw

#HABARI: Kuelekea siku ya bonanza la Mac D 2025, Afisa Masoko kutoka Bodi ya Utalii Tanzania, Bw

#HABARI: Kuelekea siku ya bonanza la Mac D 2025, Afisa Masoko kutoka Bodi ya Utalii Tanzania, Bw. Albert Mboto amesema Bodi ya Utalii Tanzania imejipanga vyema kutumia siku hiyo kutangaza vivutio vya utalii vinavyopatikana ndani ya nchi ya Tanzania.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *