“…kuna nchi wanahudumia wake zao hasa wanapokuwa wajawazito, wanawaendeleza wake zao mpaka wanafika kujifungua….wanawasimamia mpaka wanafika kwenda kujifungua kule hospitali wanakwenda wale wanaume….lakini hapa nchini hawana mambo hayo….”-Mbunge wa Viti Maalum (CCM) – Mwantumu Dau Haji.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania