#HABARI: Mratibu wa Mac D Bonanza & Fun Run 2025, Denzel Deogratius Rweyunga, amesema maandalizi yote ya kuelekea kwenye bonaza …

#HABARI: Mratibu wa Mac D Bonanza & Fun Run 2025, Denzel Deogratius Rweyunga, amesema maandalizi yote ya kuelekea kwenye bonaza …

#HABARI: Mratibu wa Mac D Bonanza & Fun Run 2025, Denzel Deogratius Rweyunga, amesema maandalizi yote ya kuelekea kwenye bonaza hilo yamekamilika na kinachosubiriwa ni siku ifike waliojiandikisha waweze kushiriki.

Denzel amesema, mgeni rasmi katika bonanza hilo linalotarajiwa kufanyika Jumamosi Juni 7, 2025 ni Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwijuma ‘MwanaFA’.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *