#HABARI: Wazazi wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja mkazi wa Kata ya Isevya, Manispaa ya Tabora, aliyezaliwa bila sehemu ya haja…

#HABARI: Wazazi wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja mkazi wa Kata ya Isevya, Manispaa ya Tabora, aliyezaliwa bila sehemu ya haja…

#HABARI: Wazazi wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja mkazi wa Kata ya Isevya, Manispaa ya Tabora, aliyezaliwa bila sehemu ya haja kubwa na kupelekea kutobolewa utumbo wake kwa ajili ya kutolea haja hiyo kwa dharura, wanaomba msaada wa gharama za matibabu ya oparesheni ya kuziba eneo la tumbo la mtoto huyo, ili kuruhusu eneo sahihi la kujisaidia kufanya kazi kiasi kisichopungua shilingi laki tano, ambayo wazazi wake wameshindwa kuilipa kutokana na hali duni waliyo nayo.

Mbali na gharama hiyo lakini pia wazazi hao wamewaomba wasamaria wema kuwasaidia fedha za kujikimu katika kipindi hiki cha matibabu ya mtoto wao.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *