“Kilimo kikiwekezwa kikaweza kukua kwa asilimia kumi, kwa miaka mitatu mfululizo, kinaweza kikapunguza takribani asilimia 50 ya umasikini, umasikini unawekezwa maeneo ambayo yanagusa watu wengi zaidi”- Mhe.David Kafulila – Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi PPP.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania