#HABARI: Zaidi ya wananchi 3000 mkoani Manyara, wameanza kunufaika na huduma za madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo, saratani p…

#HABARI: Zaidi ya wananchi 3000 mkoani Manyara, wameanza kunufaika na huduma za madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo, saratani p…

#HABARI: Zaidi ya wananchi 3000 mkoani Manyara, wameanza kunufaika na huduma za madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo, saratani pamoja na magonjwa ya kinamama, katika kambi maalumu ya madaktari bingwa 48 wa Mama Samia, itakayofanyika kwa siku 6 mfululizo ili kuwasogezea wananchi huduma za kibingwa karibu na maeneo yao.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *