#HABARI: Watu arobaini wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Njombe kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali ikiwemo watu watatu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji katika wilaya tofauti za mkoa huo, baada ya mtuhumiwa mmoja kumuita marehemu eneo la mgogoro wa kugombea ardhi na kisha kutekeleza mauaji.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania