#MICHEZO: Uongozi wa Yanga umesisitiza kuwa msimamo wawo juu ya Derby uko palepale, hawatocheza June 15

#MICHEZO: Uongozi wa Yanga umesisitiza kuwa msimamo wawo juu ya Derby uko palepale, hawatocheza June 15

#MICHEZO: Uongozi wa Yanga umesisitiza kuwa msimamo wawo juu ya Derby uko palepale, hawatocheza June 15.

Huku akiwasisitiza wanachama na mashabiki nao kutowageuka na kusimamamia msimamo mmoja kama walivyokubaliana.

Huku wakikemea vitendo vya mashabiki wao kuchaniwa jezi na kushambuliwa na mashabiki wanaoaminika kuwa wa Simba.

Kwa kusisitiza hakuna haja ya kwenda kwenye mechi za Simba na mashabiki wa Simba wasiende mechi za Yanga.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *