#HABARI: Wananchi wa Mtaa wa Kiwandani, wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma, wameshukuru na kuhamasisha wananchi wengine kuchangamkia fursa ya kuunganishiwa huduma ya Umeme kupitia mradi wa REA uliokamilika ili kuboresha maisha yao kupitia shughuli za uzalishaji Mali ikiwemo uanzishaji wa viwanda vidogo .
Moja ya wananchi walionyesha kkufurahia huduma ya umeme amesema “Tangu tumevuta umeme watoto wangu wamepata muda wa ziada wa kujisomea nyakati za usiku; ninaamini kwa hili hata ufaulu hapa kwenye shule zetu utaongezeka” Ilumminata Joseph.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania