#HABARI: Wakala ya usambazaji maji Vijijini (RUWASA) mkoani Kigoma kwa kushirikiana na Shirika la Water Mission, wameanza kutumi…

#HABARI: Wakala ya usambazaji maji Vijijini (RUWASA) mkoani Kigoma kwa kushirikiana na Shirika la Water Mission, wameanza kutumi…

#HABARI: Wakala ya usambazaji maji Vijijini (RUWASA) mkoani Kigoma kwa kushirikiana na Shirika la Water Mission, wameanza kutumia teknolojia ya kisasa ya Satelaiti katika skimu za maji hasa maeneo ya Vijijini, ili kudhibiti upotevu wa maji lakini pia kusogeza zaidi huduma ya maji kwa wananchi katika maeneo ya Vijijini.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *