#VIDEO: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene, amewataka watumishi wa umma walio kazini na watakao ajiriwa, kujiepusha na vitendo vya rushwa na ufisadi, wakiwa kazini na watakapo ajiriwa, kwani mambo hayo yamekuwa yakichangia madhara katika ufanisi wa utendaji kazi za serikali.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania