#HABARI: Bwana Erastus Ethekon, aliyeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya (IEBC), amesema hatoegemea upande wowote Kenya inapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, huku kukiwa na wasiwasi kwamba huenda akaegemea upande mmoja.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania