“Inafurahisha sana…kuwasikia wawakilishi wa wananchi mkitoa mrejesho na kuthibitisha kwamba kweli ndani ya kipindi hicho kazi …

“Inafurahisha sana…kuwasikia wawakilishi wa wananchi mkitoa mrejesho na kuthibitisha kwamba kweli ndani ya kipindi hicho kazi …

“Inafurahisha sana…kuwasikia wawakilishi wa wananchi mkitoa mrejesho na kuthibitisha kwamba kweli ndani ya kipindi hicho kazi kubwa imefanyika, nashukuru kwa kutambua kwenu na sio tu kuyaendeleza mema yaliyokuwepo katika awamu zilizopita, bali pia tumeweza kuboresha mema yaliyopo na kuleta mema mapya” -Mhe.Samia Suluhu Hassan – Rais wa Tanzania.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *