#HABARI: Mdau wa maendeleo Musoma Vijijini na kada wa Chama Cha Mapinduzi aliyewai kuwa Mwenyekiti UVCCM Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka Kilimanjaro, Muinja Maigu amezungumza na waandishi wa habari katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika Dodoma na kusema kuwa yeye hajatamka kuhusu kulitaka Jimbo la Musoma Vijijini, harakati zote ambazo amekuwa kifanya ndani ya jimbo la Musoma Vijijini lengo lake ni kumuunga mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika fursa mbalimbali za maendeleo kwa wananchi kwa Musoma vijijini.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania