#CRDBBankFederationCup: “Ni bahati mbaya tu Singida Black Stars wameangukia mikononi mwetu” maneno ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest akiuzungumzia mchezo wa kesho wa nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup kati ya Simba SC dhidi ya Singida BS.
Mechi itapigwa saa 9:30 alasiri na itakuwa LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz))
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #SimbaSC #SingidaBlackStars #SimbaSingidaBS