#CRDBBankFederationCup: Tazama vikosi vya Simba SC na Singida Black Stars vilipofika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa ajili ya kukagua dimba hilo kuelekea mechi yao ya kesho ya nusu fainali ya CRDB Bank Federation Cup.
Mtangazaji @hassanahmedy_ anasimulia zaidi.
Mechi itapigwa saa 9:30 alasiri na itakuwa LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz))
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #SimbaSC #SingidaBlackStars #SimbaSingidaBS