#CRDBBankFederationCup: “Mchezo wa kesho ni mchezo mgumu sana, ni vema kila mwanasimba akaelewa hilo” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akiizungumzia mechi ya kesho ya nusu fainali ya CRDB Bank Federation Cup.
Mechi itapigwa saa 9:30 alasiri na itakuwa LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz))
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #SimbaSC #SingidaBlackStars #SimbaSingidaBS