Leo inapigwa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ni Simba SC dhidi ya Singida BS pale katika dimba la Tanzanite Kwa…

Leo inapigwa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ni Simba SC dhidi ya Singida BS pale katika dimba la Tanzanite Kwa…

Leo inapigwa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ni Simba SC dhidi ya Singida BS pale katika dimba la Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara.

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 9:30 alasiri na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.

Je, ni Mnyama ama Singida BS nani kumfata Mwananchi katika hatua ya fainali?

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.

#CRDBBankFederationCup #SimbaSC #SingidaBS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *