#MICHEZO: Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ amesema kuwa, uwanja wa Benjamin Mkapa u…

#MICHEZO: Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ amesema kuwa, uwanja wa Benjamin Mkapa u…

#MICHEZO: Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ amesema kuwa, uwanja wa Benjamin Mkapa upo tayari kwa michezo ya CHAN pamoja na mchezo wa dabi ya Kariakoo unaotarajiwa kuchezwa Juni 15, 2025.

MwanaFA ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la la Mbunge wa Makete, Festo Sanga.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *