#HABARI: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, ameeleza namna ambavyo nchi inaweza kutajirika kwa ufugaji mzuri na wenye tija.
Heche ameyasema hayo alipokuwa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara alipokuwa akizungumza na wakazi wa maeneo hayo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania