#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Geita limeanza kuwasaka na kuwakamata ili kuwafikisha Mahakamani waganga wa tiba za asili wanao…

#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Geita limeanza kuwasaka na kuwakamata ili kuwafikisha Mahakamani waganga wa tiba za asili wanao…

#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Geita limeanza kuwasaka na kuwakamata ili kuwafikisha Mahakamani waganga wa tiba za asili wanaotumia mbinu mpya ya kuwanywesha na kuwalewesha dawa za kienyeji wagonjwa wanawake wanaofika katika nyumba zao kupata matibabu kisha kuwabaka wakiwa hawajitambui na kisha kuwatelekeza kwani vitendo hivyo vinaongeza ukatili kwa jamii na kusabisha vitendo vya ubakaji kuongezeka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *