#HABARI: Shangwe zito limeibuka kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM jijini Dodoma wakati Katibu wa Itikadi, Ue…

#HABARI: Shangwe zito limeibuka kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM jijini Dodoma wakati Katibu wa Itikadi, Ue…

#HABARI: Shangwe zito limeibuka kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM jijini Dodoma wakati Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Amos Makalla alipokuwa akimpongeza Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kwa kusapoti vilabu vya Simba na Yanga na kuleta chachu ya mafanikio makubwa barani Afrika.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *