#MICHEZO: Mwenyekiti wa baraza la wazee Yanga Mohamed Msumi amejibu kauli ya mwenyekiti wa Bodi Ya ligi, Steven Mguto kuwa mechi…

#MICHEZO: Mwenyekiti wa baraza la wazee Yanga Mohamed Msumi amejibu kauli ya mwenyekiti wa Bodi Ya ligi, Steven Mguto kuwa mechi…

#MICHEZO: Mwenyekiti wa baraza la wazee Yanga Mohamed Msumi amejibu kauli ya mwenyekiti wa Bodi Ya ligi, Steven Mguto kuwa mechi ya derby June 15 iko pale pale.

Akisema mpaka sasa Bodi ya Ligi haijajitokeza hadharani na kujibu Kwanza hoja 3 za Yanga, hivyo haitawezekana kwa wazee wa klabu kukubaliana na uamuzi wowote

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *