#LaLigaEASports Jiooooooooooooooooooooooooniiii!!!!!!!
Kwahiyo sasa Barca inabidi wasubiri hadi kesho kwenye Dabi ya Katalani (Catalonia Derby), ambapo watalazimika kushinda…..
FT’: Real Madrid 2-1 Mallorca
Tukutane kesho Catalonia Derby LIVE #AzamSports2HD
#LigiKuuHispania #LaLiga #LaligaUpdates #RealMadrid #RCDMallorca #RealMadridMallorca