#HABARI: Miili ya watu watatu waliofariki katika Mafuriko Mei 6, 2025, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, imeagwa leo katika Kanisa la KKKT Usharika Fukeni kata ya Mbokomu wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, na kuhudhuriwa na waombolezaji pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania