#AIBUYAKO: Kipindi hiki kinaangazia makosa yanayofanywa na wamiliki wa magari, kutembelea magari yasiyo na usajili halalali na wengine kubandika vibao vya usajili wa magari kusiporuhusiwa.
Kipindi hiki Kitakuwa Mubashara Facebook na Youtube #ITVTANZANIA, Mei 12, 2025, siku ya Jumatatu saa 4:00 usiku hapa ITV.