#HABARI: Moshi mweupe umeonekana ukifuka kutoka kwenye bomba la moshi katika Kanisa la Sistine Chapel, ishara hiyo sasa ni wazi mchakato wa upigaji kura umekamilika na Makadinali wamemchagua mrithi wa Papa Francis.
#BBC
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania