#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo Tabora, chini ya Jopo la Majaji watatu, imeanza kusikiliza kesi namba 3965 ya mwaka 2025 ya madai mchanganyiko ya kuiomba Mahakama kurudisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya inayoikabili Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, zamani ikifahamika kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania