#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, ametoa pongezi kwa Kardinali Robert Francis Prevo…

#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, ametoa pongezi kwa Kardinali Robert Francis Prevost, kwa kuwa Papa mpya baada ya kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rais Samia ameandika “Pongezi za dhati kwa Kardinali Robert Francis Prevost, Papa Leo XIV kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani”

Kadhalika Rais Samia amesem; “Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninakutakia kila la kheri katika utumishi wako kwa Kanisa na Dunia kwa ujumla.
Mwenyezi Mungu akusimamie na kukuongoza.”

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *