“Jumla ya miradi ya maji 2,331 imekamilika ambapo 1,965 ni ya vijijini na 366 ni ya mijini na hivyo kuboresha upatikanaji wa hud…

“Jumla ya miradi ya maji 2,331 imekamilika ambapo 1,965 ni ya vijijini na 366 ni ya mijini na hivyo kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji vijijini kutoka wastani wa asilimia 70.1 mwaka 2020 hadi asilimia 83 mwezi Desemba, 2024 na maeneo ya mijini kutoka wastani wa asilimia 84 hadi asilimia 91.6.

“Kuanzishwa kwa RUWASA kumejenga miradi 3,379, na kupeleka huduma ya maji katika vijiji 10,517 kati ya vijiji zaidi ya 12,318. RUWASA imefanya mapinduzi makubwa katika kujenga na kuboresha huduma ya maji vijijini,” –Waziri wa Maji, Jumaa Aweso.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *