“….lakini mapema wiki iliyopita Jeshi letu la Wananchi, lilitoa tangazo la ajira na likaweka hicho kigezo, ambacho sisi Bunge zima liliazimia kamba kigezo hicho, kinawanyima fursa Vijana ambao hawajapita JKT kupata nafasi ya kujngia….” Mbunge wa Mbozi – George Mwenisongole
Video kamili inapatika Youtube @itvtanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania