“Kwa muda mrefu watu walifikiri na mimi naamini inahitaji marekebisho gulani na kama utakavyokumbuka wakati wa Mheshimiwa Jakaya…

“Kwa muda mrefu watu walifikiri na mimi naamini inahitaji marekebisho gulani na kama utakavyokumbuka wakati wa Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, aliunda tume Jaji Warioba, akazunguka zunguka wakatengeneza mapendekezo likakusanywa bunge la katiba……”aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *