#HABARI: Maduka matano yaliopo Barabara ya Siriel Mchembe, iliyopo Mtaa wa Kwamngumi, ndani ya Halmashauri ya Mji wa Handeni, mk…

#HABARI: Maduka matano yaliopo Barabara ya Siriel Mchembe, iliyopo Mtaa wa Kwamngumi, ndani ya Halmashauri ya Mji wa Handeni, mkoani Tanga, yameteketea kwa moto huku mtu mmoja ambae alikuwa ndani ya ya duka moja akinusurika kifo baada ya mlinzi wa maduka hayo kuvunja mlango na kuweza kumuokoa.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *