#HABARI: Gari aina ya ISUZU lililokuwa nan amba za usajili KCN 034G, lililoingizwa kimagendo toka nchini Kenya, bila kulipiwa ko…

#HABARI: Gari aina ya ISUZU lililokuwa nan amba za usajili KCN 034G, lililoingizwa kimagendo toka nchini Kenya, bila kulipiwa kodi limekabidhiwa kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani humo baada ya mmiliki wa gari hilo raia wa Kenya kushindwa kulilipia kodi na kulikomboa.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *