#HABARI: Siku moja Baada ya Mkuu Wa Mkoa Wa Katavi, Kutangaza Operesheni Maalum Ya Kuwasaka Wale Wote Ambao Wamekuwa na Tabia Ya Kuwarubuni na kuwaoa watoto Wa Shule Maarufu Kama ‘Chakulaga’ na kuagiza wote watakaokamatwa, Katika Operesheni hiyo kusiwe na mjadala wafikishwe mbele ya vyombo vya Sheria, baadhi ya viongozi wa mila na mashirika ya kiraia yameunga Mkono Agizo, hilo na kusema watahakisha inafanikiwa.
Wakizungumza na ITV badhi ya viongozi wa kimila ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya juma la elimu, wamesema ‘Chagulaga’ imekuwa kero kubwa kwao.
kwa upande wake Mkurugenzi wa miradi na ushirkiano kutoka shirika la Camfed, ambalo linajishughulisha zaidi na ustawi wa mtoto wa kike pamoja na Tanzania mratibu wa kitaifa wa mtandao wa elimu wamesema.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania