#HABARI: Marekani na China zinatazamiwa kuanza mazungumzo kuanzia Mei 9 hadi 12, mwaka huu ili kujaribu kupunguza vita vya kibia…

#HABARI: Marekani na China zinatazamiwa kuanza mazungumzo kuanzia Mei 9 hadi 12, mwaka huu ili kujaribu kupunguza vita vya kibiashara kati ya mataifa hayo mawili.

Tangu arejee madarakani, Rais wa Marekani, Donald Trump ametoza ushuru wa bidhaa za China hadi kufikia asilimia 145, huku China ikilipiza kisasi kwa ushuru wa asilimia 125 kwa baadhi ya bidhaa kutoka Marekani.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *