#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Dkt. Lazaro Komba amewataka Wananchi kujenga utamaduni wa kufanya utalii wa ndani ikiwemo kutembelea Maporomoko ya Kalambo Falls ambayo ni ya pili kwa Urefu barani Afrika.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania