#HABARI: Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Joseph Mhulila (28), mkazi wa Lukosi, Kata ya Mkwawa, mjini Iringa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mjini Iringa kwa tuhuma za kumuua mtoto wake aitwaye Timotheo Joseph (6) na kukuukata mwili wake vipande vidogo vodogo na ‘kuu-flash’ kwenye shimo la choo kwa lengo la kupoteza ushahidi.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania