#HABARI: Wananchi mbalimbali wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, wamejitokeza kuchangia damu, kufuatia Hospitali ya Wilaya hiyo,…

#HABARI: Wananchi mbalimbali wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora, wamejitokeza kuchangia damu, kufuatia Hospitali ya Wilaya hiyo, pamoja na vituo vyake vya afya, kuwa na uhitaji mkubwa wa damu, ambapo kati uniti za damu 100 hadi 150 zinakusanywa kwa mwezi wakati uniti za damu 300 hadi 350 zina hitajika kutumika kila mwezi.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *