#HABARI: Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, moto ambao haujafahamika chanzo chake, umeunguza fremu iliyokuwa inauza maziwa katika eneo la Mabibo – Jeshini jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, inaelezwa Jeshi la Zimamoto limefika eneo hilo na kufanikiwa kuudhibiti moto huo.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania