“…mtandao wa Tiktok ndio mtandao pendwa wa watoto wetu wanafunzi, lakini ndio mtandao unaoongoza kwa maudhui mabaya, nini mkakati wa Serikali kuhakikisha wanadhibiti mtandao huu ili kunusuru watoto wetu….” Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA – Felister Njau.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania